CHUO CHA UFUNDI CHA ST. JOSEPH VTC MBINGA

Chuo Cha ufundi cha St Joseph VTC mbinga kinatoa mafunzo katika fani za magari, umeme na mabomba na sifa za kujiunga chuo hicho ni lazima uwe na elimu ya kidacha nne na kuendelea