Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu ndiyo kauli mbiu inayoongoza ujumbe wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kwa mwaka 2018. Ni ujumbe unaozingatia matukio makuu matatu: Jubilei ya Miaka 150 ya Ukristo Tanzania Bara, Miaka 50 ya Tamko la Maaskofu kuhusu Mwelekeo na Hatima ya Tanzania na Maandalizi ya Uchaguzi wa viongozi wa Serikali za mitaa utakaofanyika mwaka 2019. Wapendwa Familia ya Mungu, Na Watu Wote wenye Mapenzi Mema, “Neema na iwe kwenu, na amani zitokazo kwa Mungu, Baba yetu” (Kol 1:2).
Utangulizi
Kama ilivyo ada ya Wakristo pote ulimwenguni, kwa kipindi cha siku arobaini kabla ya kuadhimisha Jumapili ya Ufufuko wa Bwana Wetu Yesu Kristo, Wakristo hutumia muda huo kufunga, kufanya toba na kufanya matendo ya huruma kwa wote wenye mahitaji huku wakijitafakari kuhusu uhalisia wa hali yao ya kuwa ni wenye dhambi mbele ya Mungu, ili waweze kufanya toba ya kweli na yenye mageuzi na wongofu katika maisha. Mwaka huu kipindi hiki, kijulikanacho kama kipindi cha Kwaresima, kinaanzia tarehe 14 Februari Jumatano, siku ambayo inajulikana kwa jina la Jumatano ya Majivu, mpaka tarehe 29 Machi, ambayo itakuwa ni siku ya Alhamisi Kuu.
Toba na thamani ya uhai wa watoto wetu, vijana wetu na familia zetu?
Toba na haki za binadamu katika mila, desturi, siasa, sheria na uchumi?
Kama wadhambi tuna wajibu gani mbele ya Mungu na mbele ya binadamu wenzetu?
4.2 Jumuiya na Parokia yetu inaweza kufanya nini ili kurekebisha na kukuza:
Moyo na tabia ya usikivu kwa sauti ya Mungu anayetuuliza kuhusu hali ya bindamu kama ndugu zetu?
Moyo na tabia ya kujali utu, hadhi na haki za binadamu wenzetu, hasa wanyonge na wanaogandamizwa?
Kuchangia katika mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ili maendeleo ya kweli yapatikane kadiri ya tunu za Ufalme wa Mungu?
Kristo Mfufuka awape amani!
Ni sisi Maaskofu wenu,
1 Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, Iringa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania
2. Mhashamu Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya, Ofm Cap, Dodoma,
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania
3 Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Dar es Salaam
4. Mhashamu Askofu Mkuu Mstaafu Josaphat Lebulu, Arusha
5. Mhashamu Askofu Mkuu Paul Ruzoka, Tabora
6. Mhashamu Askofu Mkuu Yuda Thaddaeus Ruwa’ichi, Ofm Cap,Mwanza
7. Mhashamu Askofu Mkuu Damian Dallu – Songea
8. Mhashamu Askofu Telesphor Mkude, Morogoro
9. Mhashamu Askofu Bruno Ngonyani, Lindi
10 Mhashamu Askofu Severine NiweMugizi, Rulenge-Ngara
11. Mhashamu Askofu Evaristo Chengula, IMC, Mbeya
12. Mhashamu Askofu Augustino Shao, CSSp, Zanzibar
13. Mhashamu Askofu Damian Kyaruzi, Sumbawanga
14. Mhashamu Askofu Agapiti Ndorobo, Mahenge
15. Mhashamu Askofu Anthony Banzi, Tanga
16. Mhashamu Askofu Desiderius Rwoma, Bukoba
17. Mhashamu Askofu Msaidizi Method Kilaini, Bukoba
18. Mhashamu Askofu Alfred Leonard Maluma, Njombe
19. Mhashamu Askofu Ludovick Minde, ALCP/OSS, Kahama
20. Mhashamu Askofu Castor Paul Msemwa, Tunduru-Masasi (Marehemu)
21. Mhashamu Askofu Michael Msonganzila, Musoma
22. Mhashamu Askofu Mkuu Issac Amani, Jimbo kuu la Arusha
23. Mhashamu Askofu Almachius Rweyongeza, Kayanga
24. Mhashamu Askofu Rogath Kimaryo, CSSp, Same
25. Mhashamu Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa, Dar es Salaam
26. Mhashamu Askofu Salutaris Libena, Ifakara
27. Mhashamu Askofu Renatus Nkwande, Bunda
28. Mhashamu Askofu Gervas Nyaisonga, Mpanda
29. Mhashamu Askofu Bernadin Mfumbusa, Kondoa
30. Mhashamu Askofu John Ndimbo, Mbinga
31. Mhashamu Askofu Titus Mdoe, Mtwara
32. Mhashamu Askofu Joseph Mlola, ALCP/OSS Kigoma
33. Mashamu Askofu Msaidizi Prosper Lyimo, Arusha
34. Mhashamu Askofu Liberatus Sangu, Shinyanga
35. Mhashamu Askofu Edward Mapunda, Singida
36. Mhashamu Askofu Flavian Kassala, Geita
What we bear here is , an substantialoffers
To equipped click on the fasten together deeper
http://bit.ly/2Uz5ELa
ok fine