Zingatia sana mambo yafuatayo kuepuka Corona

KUJIKINGA NA CORONA ZINGATIA AFUATAYO

1.OSHA MIKONO NA SABUNI
Kwenye daftari lake la maelekezo katika kupambana na Corona, shirika la afya ulimwenguni WHO halijaorodhesha kuvaa kwa vinyago vya uso. Hatua ya kwanza ni kuosha mikono. WHO imependekeza kutumia maji yenye mvinyo

2.EPUKA MISONGAMANO!
Epuka maeneo ya watu wengi ili usije kuwaambukiza au kuambukiza wengine. Umpe maelezo daktari kuhusu maeneo ulioyatembelea
Unapokwenda kwenye maeneo ambako virusi vya corona vimeripotiwa

3.KUKOHOA NA KUCHEMUA LAKINI UFANYE KWA MAELEKEO MAZURI.
Yafuatayo ni maelekezo ya madaktari :
• Unapokohoa na kuchemua zuwiya kinywa na pua yako au tumia kitambaa cha kujifutia na baadae kukitupa na kuosha mikono.

4.BAKI KANDO!
Mwelekezo mwingine ni kutoenda kwenye maeneo ya watu wengi au kuwa karibu na mtu alie na homa au mafua na ikiwa hivyo hakikisha kwamba umechukuwa hatua bora za kiafya.

5.UNA HOMA? NENDA KWA DAKTARI NA USISAFIRI!
Ikiwa una homa, kikohozi, na una matatizo ya kupumua ,ni lazima kuomba huduma za kiafya haraka iwezekanavyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*