COMPUTER SCHOOL

chuo kipo katika jimbo la mbinga na kinatoa kozi fupi za computer application kwa miezi mitatu katika program zifuatazo
introduction to computer
introduction to microsoft word
introduction to microsoft excel
introduction to microsoft power point
introduction to microsoft access
introduction to microsoft publisher
internet and Emails

Wanafunzi wakimaliza mafunzo wanapata cheti kinachoonyesha program alizosoma na ufaulu wa kila program