WATOTO WA CHEKECHEA WAKIWA KATIKA MICHEZO MBALI MBALI Posted on by Hao ni wanafunzi wa chekechea wakiwa katika sehemu ya kucheza michezo mbalimbali wakiwa katika usimamizi imara wa walimu wao .
KANISA LA JIMBO KATOLOIKI LA MBINGA Posted on by Kanisa la Jimbo katoliki la Mbinga (kwa Kilatini Dioecesis Mbingaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania .
St Joseph Computer School Mbinga Posted on by CHUO CHA COMPUTER KINATOA KOZI ZA MUDA MFUPI (short course) KWA MUDA WA MIEZI MITATU
CHUO CHA UFUNDI CHA ST. JOSEPH VTC MBINGA Posted on by Chuo Cha ufundi cha St Joseph VTC mbinga kinatoa mafunzo katika fani za magari, umeme na mabomba na sifa za kujiunga chuo hicho ni lazima uwe na elimu ya kidacha nne na kuendelea