WATOTO WA CHEKECHEA WAKIWA KATIKA MICHEZO MBALI MBALI

Hao ni wanafunzi wa chekechea wakiwa katika sehemu ya kucheza michezo mbalimbali wakiwa katika usimamizi imara wa walimu wao .